IN FIRST AND FAST LEO NAKUFEED NA FAST QUESTION AND ANSWERS FROM BONGO CELLEB.ON TREE NIKO NA ALLY HASSAN..A.K.A DAXX A BONGO CODE SUPER MODEL AMBAE ANA RUN MAISHA YAKE KWA KUPIGA DEAL YA MODELING HAPA BONGO NA AKIWA ANA OWN CONTRACT NA KAMPUNI YA MITINDO YA M1 MANAGEMENT SIDE ZA BONDENI CAPE TOWN SOUTH AFRICA.NA HAPA BONGO ANAPIGA KAZI NA
CLOUDS TV THE PEOPLE STATION..TAKE THE FLOW...
B.CODES:Niambie first day unameet na girlfriend wako unadhani alipagawa na nini kutoka kwako?
DAXX:Mhhhh! alidata na muonekano wangu,coz i got killing body.
B.CODES:Faida na impact gani umepata katika kazi yako ya mitindo kwa bongo na nje ya border za 255?
DAXX:Kufahamika na kupata kazi nyingi sana pamoja na kupiga mzigo na kampuni kubwa ya mitindo iitwayo M 1 MANAGEMENTS ya nchini South Africa...is like OMG!!!!
B.CODES:Je unaspend muda mwingi kwenye social network gani?
DAXX:Aaaaa!!!i like to spend my time kwa facebook.
B.CODES:Baada ya muda wa kazi kuisha,je unatumiaje time iliyosalia kwako?
DAXX:Yeaas mara nyingi napenda kutumia muda wangu kwa kwenda kupiga gym,kama uonavyo mwili wangu ulivyo i spend more money for it,na some timez kwenda Movie any good place.
B.CODES:Celleb gani wa kike ungependa kuuona mwili wake ukiwa mtupu bila ya hata vazi lolote?
DAXX:Eheee teh stop jok broo.bt ilike see body ya CIARA akiwa mtupu coz she is hot.
B.CODES:Kitu gani ambacho siku haiwezi kuisha bila ya wewe kukifanya?
DAXX:Mhhhh kiukweli siku haiwezi kupita bila ya me kucheki news mbili tatu from differents sources kiukweli.
B.CODES:Unadhani ipi ni siku nzuri kwako?
DAXX:Kwangu mimi every day is a good day but siku ambayo nafanikiwa jambo nililolipanga kwa muda mrefu,hiyo ndio inakuwa my best day na inafanya na kuw na XXL happy...
B.CODES:Unafeel vipi ukitumia Public services kama mabasi nk?
DAXX:Yaaah! kwangu naona poa sana na mara kadhaa huwa nafanya hivyo coz inanisaidia kukutana na mafans wangu moja kwa moja.
B.CODES:Unafeel poa ukiwa katika dress code ipi?
DAXX:Ohooo mi na feel bomba kwa vazi la aina yoyote tu coz kila vazi lanipendeza nkivaa..
B.CODES:Out of modeling una source ipi ya kukuingizia mkwanja?
DAXX:Yaaaah! ninayo coz me ni mtangazaji wa Clouds TV na watu wakae tayari kutazama ma fashion show soon kwa People station.