BONGOCODE NEW VIDEO-OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA

CODE NEW VIDEO -C-PWAA

NEW VIDEO FROM DITO-TUSHUKURU KWA YOTE

CODE NEW VIDEO-BY DITTO

NEW VIDEO FROM DULLY SYKES..

BONGO CODE NEW VIDEO FROM FEROUZ-NDEGE MTINI.

VIDEO CODE:NDEGE MTINI

NEW CODES XCLUSIVE VIDEO WANAUME TMK...

KICHWA KINAUMA FROM TMK

Wednesday, July 13, 2011

FRESH CODES FOCUS..HE IS ASIMPLE BUT A STAR.



HALAAAAH PEOPLE...GET SEAT AND TAKE OUR CODE FOCUS AS TUANZAVYO.....DAILY WATU WANAMUONA KWA MTAA,TV,NA TIME NYINGINE HUMUONA KATIKA DIFFERENT EVENTS HAPA 255 THE GUY IS SO SIMPLE BUT HE IS A STAR IN DEADLY, ANAITWA JOHN MCHAINA ALSO KNOWN AS ZE BOY A FACEBOOK NAME NA SIMPLE WA 69 RECORDS ...JOIN AS FOLLOW


BEFORE:
He was like a wa kawaida sana kwa mtaa coz he was depend on mama and dad house na kushinda street withought mchongo wa kufanya.He thought to join house ya kukuzia vipaji hapa Tanzania(THT)and definetry he did that,siku kadhaa akaingia kushow his street dance talent pale THT na akaonekana ni bonge la dancer na masanii mzuri sana so kila XXL and big show event hapa BONGO lazima atakuwepo kwenye crew work hiyo kuwajibika hasa kwa THT group .



Joks na kucopy vitu in different way it made him kuonekana ni talented person coz aliweza ku act in diffent moments hasa akiwa mazoezini pale THT ndipo baadhi ya wakali na some big bosses wakamwambia you can be a noma actor hapa bongo ukiacha dancing.NOW...

Ukiwa unakaa front of yo tv na ukawa unatazama Clouds tv every day hasa siku za juma tano saa 3 kamili usiku lazima utakuwa una expirience ya tamthilia ya kibongo ya 69 RECORDS yenye maudhui ya pesa,mapenzi na maisha ya muziki .Yes now a days mchizi anang'aza nyago humo akiwa kama mmiliki wa studio fulani ya muziki,ofcoz he is so simple as he live kwa mtaa but jamaa ni bonge la star coz ana shine mbaya mbaya,alipata zali la kuwa jaji katika mchakato wa kusaka vipaji vya waigizaji kwenye fiesta filamu search mwaka huu katika viwanja vya Leaders Club na pia kupewa congrat hand na jamaica ragger&dancel singer mkali SHAGGY kwenye tamasha la filamu la Zanzibar a.k.a. ZIFF coz SHAGGY alimuona akifanya vitu vyake in danger way bt simple.

ZE BOY A.K.A. SIMPLE LIKE MUSIC,CHATING,READING MAGAZINE,ACTING AND WATCHING TV...ALSO LIKE TO WATCH HIM SELF KWA TV HASA KWA SCENE AMBAZO ANAKUWAGA ON SETT.....

No comments:

Post a Comment

Followers

watembezi ni