BONGOCODE NEW VIDEO-OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA

CODE NEW VIDEO -C-PWAA

NEW VIDEO FROM DITO-TUSHUKURU KWA YOTE

CODE NEW VIDEO-BY DITTO

NEW VIDEO FROM DULLY SYKES..

BONGO CODE NEW VIDEO FROM FEROUZ-NDEGE MTINI.

VIDEO CODE:NDEGE MTINI

NEW CODES XCLUSIVE VIDEO WANAUME TMK...

KICHWA KINAUMA FROM TMK

Wednesday, June 13, 2012

BONGO CODES:NEW VIDEO FROM NGOME VIDEO PRO: TAZAMA. ARTIST GVAN....SONG:..NANI.

BAADA YA KUFANYA MIRROR ZA WATU KAMA HUSSEIN MACHOZI,KALAPINA NA WENGINE KIBAO SASA NGOME VIDEO PRODUCTION UNDER DIRECTOR MECK MSILU.

Thursday, June 7, 2012

CODE :TAZAMA SHOW YA MSANII STANBOY NA MKALI SEAN PAUL ON SAME STAGE SIDE ZA JAMAICA.

Rapper na singer aliwahi kuwa member wa east cost team ambaye hivi sasa life yake kaamishia side za state,wiki iliyopita alipata shavu ya kupiga show matata on same n single stage na burn singer call him Sean paul..cheki na kipande chako.

Friday, June 1, 2012

cOde...LEO KIPINDI CHA CHA XXL KINACHORUSHWA NA CLOUDS FM KILIRUKA LIVE CLODS TV AMBAPO WASANII TOFAUTI WALISHIRIKI KWENYE SHOO HIYO


 

XXL CREW,wakwanza aliyevaa miwani ya rangi nyeusi ni B DAZEN,wa pili ni BABA JOHNII,watatu mschana ni MWANADADA D na Cameraman RAY.
                                                        Huyo ni MADEE rais wa Manzese
                                                 CHID BENZ aka CHUMA alikuwepo pia.
DIAMOND PLATINUM ni mmoja kati ya wageni waliolikwa kwenye shoo hiyo iliyoluka livi Clouds TV

Tuesday, May 29, 2012

CoDe..THOMAS ULIMWENGU KUTOENDA KUWAA AKINA KOLO TOURE

Zikiwa yamebaki masaa kadhaa kabla ya timu ya Taifa ya Tanzania kusafiri kwenda kuwavaa Ivory Coast - taarifa rasmi kutoka kambi ya timu hiyo zinasema kwamba mshambuliaji Tom Ulimwengu hatosafiri na timu hiyo. 

Ulimwengu, mshambuliaji chipukizi wa timu ya soka ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ameshindwa kupona maumivu ya kifundo cha mguu aliyopata akiwa kwenye mazoezi ya timu hiyo mwanzoni mwa wiki iliyopita.

CoDe..SPRITE YADHAMINI KLINIKI YA KIKAPU (Zaidi ya vijana 200 kushiriki)

Mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu na anyechezea ligi ya NBA ya Marekani , Hasheem Thabeet akiongea  na waandishi wa habari (hawako pichani) kuhusu kliniki ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Sprite itakayofanyika katika viwanja vya Don Bosco, Upanga Dar es Salaam kuanzia Ijumaa Juni Mosi 2012.
Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) Michael Maluwe akizungumza na waandishi wa habari (hawako pichani)kuhusu ya kliniki ya vijanai chini ya umri wa miaka 17 itakayofanyika katika viwanja vya Don Bosco, Upanga jijini Dar es Salaam kuanzia Ijumaa Juni Mosi mwaka huu. Kliniki hiyo imedhaminiwa na Kampuni ya Coca-Cola kupitia kinywaji cha Sprite. Katikati ni mchezaji wa Ligi maarufu duniani ya NBA  Hasheem Thabeet na kulia ni Meneja Bidhaa Msaidizi wa Coca-Cola Tanzania Warda Kimaro.
 

Followers

watembezi ni