OH !! MAJAMAA MY NAME KASEMBE SELEMAN FIRST I LIKE THE WAY SONGI LIMEANDIKWA COZ NI WAZO LA TOFAUYI SANA NA PIA NIMEPENDA SANA TETEMESHA WALIVYOTENGENEZA MDUNDO WENYE MAADHI YA SOKO LA SASA LA MUZIKI NA PIA HATA C-SIR ALIVYO INCERT MADINI YAKE UKI PLAS NA UKALI WA SAUTI YAKE NDANI YA NGOMA HIYO IMETOKA BONGE LA RECORD.BACK TO THE POINT PEOPLE, LEO TIME YA SAA NANE NA NUSU USIKU KUNA MTU AKANITUMIA VIDEO YA NGOMA HIYO NA NILIVYO ITUPIA MACHONI MWANGU DUUH! NKAIPENDA SANA HASA STORY LINE YAKE ILIVYOANDIKWA I THINK ADAM JUMA WA NEXT LEVEL NDO KAIANDIKA KIUKWELI NI BONGE MOJA LA VIDEO.SWALI NI KWAMBA MVULANA GANI AWEZAE KWENDA NYUMBANI KWA MSICHANA YEYOTE NA KISHA KUOMBA KUFANYA KAZI ZA NDANI KWA NIA TUU YA KUMUONA MDADA HUYO KWA MIKATO MIKALI KAMA ALIVYO FANYA C-SIR MADINI KWENYE KIDEO HIKI? NIMEPENDA SANA STORY HII COZ MWANA ALIAMUA KWENDA NYUMBANI KWA DEMU ANAYEMZIMIA TANGU SIKU TELE AKIDHANI HIYO NI NJIA POA YA KUMUONA KIRAHISI MTOTO HUYO AMBAE I THINK AKUWAHI KUMUELEZA KAMA ANAMPENDA BUT AKAKUBARI KUISHI NA KIFUNGO HURU NAFSINI MWAKE.....NIMEPENDA ILE TIME AMBAYO MAMA YAKE MCHIZI ALIVYOKUJA KWA SHOSTI YAKE PALE HOME PASIPOKUJUA MWANAE YUKO PALE AKIPIGA MZIGO WHILE AKIWA AMEACHA CLASS KISA DEMU ASIYE JUA LOLOTE KUHUSU HISIA ZAKE MWISHO WA SIKU AKABAKI KUPOKEA MAKOFI KUTOKA KWA BI MKUBWA WAKE NA KURUDISHWA HOME UKU NYUMA IKIBAKI STORY TUU! I LIKE IT HOPEFULL ITAFANYA POA. THANKS BONGO CODE KWA KUNIPA TIME YA KUREVIEW MY LOVELY VIDEO CODE MI NAITWA KASEMBE SELE JR FROM MZUMBE SEC SCHOOL MOROGORO.PEOPLE EXPILIENCE BONGO CODES BEAT TAZAMA VIDEO HII PAMOJA..
No comments:
Post a Comment