BONGOCODE NEW VIDEO-OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA

CODE NEW VIDEO -C-PWAA

NEW VIDEO FROM DITO-TUSHUKURU KWA YOTE

CODE NEW VIDEO-BY DITTO

NEW VIDEO FROM DULLY SYKES..

BONGO CODE NEW VIDEO FROM FEROUZ-NDEGE MTINI.

VIDEO CODE:NDEGE MTINI

NEW CODES XCLUSIVE VIDEO WANAUME TMK...

KICHWA KINAUMA FROM TMK

Tuesday, May 29, 2012

CoDe..THOMAS ULIMWENGU KUTOENDA KUWAA AKINA KOLO TOURE

Zikiwa yamebaki masaa kadhaa kabla ya timu ya Taifa ya Tanzania kusafiri kwenda kuwavaa Ivory Coast - taarifa rasmi kutoka kambi ya timu hiyo zinasema kwamba mshambuliaji Tom Ulimwengu hatosafiri na timu hiyo. 

Ulimwengu, mshambuliaji chipukizi wa timu ya soka ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ameshindwa kupona maumivu ya kifundo cha mguu aliyopata akiwa kwenye mazoezi ya timu hiyo mwanzoni mwa wiki iliyopita.

CoDe..SPRITE YADHAMINI KLINIKI YA KIKAPU (Zaidi ya vijana 200 kushiriki)

Mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu na anyechezea ligi ya NBA ya Marekani , Hasheem Thabeet akiongea  na waandishi wa habari (hawako pichani) kuhusu kliniki ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Sprite itakayofanyika katika viwanja vya Don Bosco, Upanga Dar es Salaam kuanzia Ijumaa Juni Mosi 2012.
Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) Michael Maluwe akizungumza na waandishi wa habari (hawako pichani)kuhusu ya kliniki ya vijanai chini ya umri wa miaka 17 itakayofanyika katika viwanja vya Don Bosco, Upanga jijini Dar es Salaam kuanzia Ijumaa Juni Mosi mwaka huu. Kliniki hiyo imedhaminiwa na Kampuni ya Coca-Cola kupitia kinywaji cha Sprite. Katikati ni mchezaji wa Ligi maarufu duniani ya NBA  Hasheem Thabeet na kulia ni Meneja Bidhaa Msaidizi wa Coca-Cola Tanzania Warda Kimaro.
 
Sunday, May 27, 2012

Code..Meneja twanga pepeta Atiririshwa

Code huyu ndiye mnyamwezi alimpeleka Platinum sa kwa madiba

Huyu ndio promota aliyemleta Diamond South Africa kupiga show 

Code Platinum akiwa na wadau sa kwa Madiba

Huyu ndio promota aliyemleta Diamond South Africa kupiga show 

Code huyu ndiye mnyamwezi alimpeleka Platinum sa kwa madiba

Huyu ndio promota aliyemleta Diamond South Africa kupiga show 

Code huyu ndiye mnyamwezi alimpeleka Platinum sa kwa madiba

CoDe huyu ndiye jamaa aliyempeleka Platinum kwenye shavu hilo huko sa kwa Madiba

DIAMOND PLATINUM AINGIA SOUTH AFRICA KWAAJILI YA KAZI MOJA TU>>>>>KUTOA BURUDANI

DIAMOND PLATINUM AINGIA SOUTH AFRICA KWAAJILI YA KAZI MOJA TU>>>>>KUTOA BURUDANI

Mtu mzima Diamond amedondoka pande za South Africa tayari kwa burudani kali kabisa kwa watanzania waishio pande za Durban na Capetown. Nilivyowasiliana nae dakika 10 zilizopita asubuhi hii ameniambia usiku wa kuamkia leo jumapili alikuwa na show Capetown so baada ya hapo nadhani itakuwa Joburg 

Code mzazi Diamond the Platinum akiwa kwenye ruti zake

Thursday, May 24, 2012

Mbunge wa Ubungo Mh John Mnyika ashinda kesi iliyokuwa ikimkabili hii leo.

Mbunge wa Jimbo la Ubungo Mh John Mnyika ameshinda kesi iliyokuwa ikimkabili ya kupinga matokeo yake ya ushindi wa Jimbo hilo katika uchaguzi mkuu mwaka 2010 dhidi ya aliyekuwa mpinzani wake kupitia CCM Hawa Mng'umbi.

Mwenyekiti wa Yanga Lloyd Nchunga ajiuzulu....

Inadaiwa MWENYEKITI wa klabu ya Yanga, Lloyd Nchunga (pichani), hatimaye amejiuzuru wadhifa huo.

Habari hizi ambazo bado hazijathibitishwa rasmi tumezipata hivi punde kutoka kwenye vyanzo vyetu vya habari.

Kujiuzuru kwakwe kunafuatia shinikizo kubwa kutoka kwa kamati ya wazee wa Yanga, ambao walifanya mkutano wiki iliyopita uliohudhuriwa na zaidi ya wanachama 700 ambao kwa kauli moja walimtaka Mchunga aachie ngazi.

Friday, May 18, 2012

Friday, May 18, 2012JAY JAY OKOCHA AWAPA NAFASI BAYERN HUKU KAREMBEU AKITOA NAFASI KWA CHELSEA

B.O.B Marley Day 2 morrow katika viwanja vya posta

BOB MARLEY DAY 2012 KULINDIMA JUMAMOSI VIWANJA VYA POSTA, DAR

 Mkurugenzi wa Caribbean Beat Entertainment Benji Cosmo (katikati) akiongea na waandishi wa habari juu ya tamasha la kumuenzi hayati Bob Marley linalotarajiwa kufanyika jumamosi ya wiki hii katika Viwanja Posta jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Ras Magere ambaye ni kiongozi wa 'The Warrios Band', Ras Inno anayewakilisha 'The Inocent People Band',  Jhikoman pamoja na Jonson.
Ras Inno ambaye ni kiongozi wa 'The Inocent People Band' akiwahakikishia waandishi wa habari kushiriki katika tamasha hilo.
Ras Six almaarufu kama Six Dozen wa 'Tunaweza Band' akiwakilisha band.
Kikosi cha 'The Warrios Band' kutoka Arusha wakitoa burudani mbele ya waandishi wa habari.

TUNAWASHUKURU WANZANIA KWA USHIRIKIANO WAO HILDA NA JULIO

 Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania, Barbara Kambogi (kushoto) akiongea mchana huu kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Southen Sun,Jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa Washiriki wa Big Brother Afrika (Julio na Hilda walio katikati) na Waandishi wa Habari. Kulia ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Multichoice Tanzania,Furaha Samalu.
 Washiriki wa Big Brother Afrika 2012, Julio na Hilda.
 Aliyekuwa Mshiriki wa Big Brother Stargame 2012, Julio Batalia akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mchana huu kuhusu ushiriki wake katika jumba lile la Big Brother.
 Aliyekuwa Mshiriki wa Big Brother Stargame 2012, Hilda Reiffenstein akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mchana huu kuhusu ushiriki wake katika jumba lile la Big Brother.

Mamia ya wapenzi wa michezo nchini wamejitokeza katika uwanja wa TCC Chang'ombe kutoa heshima za mwisho kwa mchezaji wa Simba raia wa Rwanda PATRICK MAFISANGO aliyefariki usiku wa jana kwa ajali mbaya ya gari.

Followers

watembezi ni