BONGOCODE NEW VIDEO-OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA

CODE NEW VIDEO -C-PWAA

NEW VIDEO FROM DITO-TUSHUKURU KWA YOTE

CODE NEW VIDEO-BY DITTO

NEW VIDEO FROM DULLY SYKES..

BONGO CODE NEW VIDEO FROM FEROUZ-NDEGE MTINI.

VIDEO CODE:NDEGE MTINI

NEW CODES XCLUSIVE VIDEO WANAUME TMK...

KICHWA KINAUMA FROM TMK

Tuesday, July 5, 2011

CELLEB CODE.....10 Q&A

IN FIRST AND FAST LEO NAKUFEED NA FAST QUESTION AND ANSWERS FROM BONGO CELLEB.ON TREE NIKO NA  ALLY HASSAN..A.K.A DAXX  A BONGO CODE SUPER MODEL AMBAE  ANA RUN MAISHA YAKE KWA KUPIGA DEAL YA MODELING HAPA BONGO NA AKIWA  ANA OWN CONTRACT  NA  KAMPUNI YA MITINDO YA  M1 MANAGEMENT SIDE ZA  BONDENI CAPE TOWN SOUTH AFRICA.NA HAPA BONGO ANAPIGA KAZI NA CLOUDS TV THE PEOPLE STATION..TAKE THE FLOW...



B.CODES:Niambie first day unameet na girlfriend wako unadhani alipagawa na nini kutoka kwako?
DAXX:Mhhhh! alidata na muonekano wangu,coz i got killing body.
B.CODES:Faida na impact gani umepata katika kazi yako ya mitindo kwa bongo na nje ya border za 255?
DAXX:Kufahamika na kupata kazi nyingi sana pamoja na kupiga mzigo na  kampuni kubwa ya mitindo iitwayo M 1 MANAGEMENTS ya nchini South Africa...is like OMG!!!!
B.CODES:Je unaspend muda mwingi kwenye social network gani?
DAXX:Aaaaa!!!i like to spend my time kwa facebook.
B.CODES:Baada ya muda wa kazi kuisha,je unatumiaje time iliyosalia kwako?
DAXX:Yeaas mara nyingi napenda kutumia muda wangu kwa kwenda kupiga gym,kama uonavyo mwili wangu ulivyo i spend more money for it,na some timez kwenda Movie any good place.
B.CODES:Celleb gani wa kike ungependa kuuona mwili wake ukiwa mtupu bila ya hata vazi lolote?
DAXX:Eheee teh stop jok broo.bt ilike see body ya CIARA akiwa mtupu coz she is hot.
B.CODES:Kitu gani  ambacho siku haiwezi kuisha bila ya wewe kukifanya?
DAXX:Mhhhh kiukweli siku haiwezi kupita bila ya me kucheki news mbili tatu from differents sources kiukweli.
B.CODES:Unadhani ipi ni siku nzuri kwako?
DAXX:Kwangu mimi  every day is a good  day but siku ambayo nafanikiwa jambo nililolipanga kwa muda mrefu,hiyo ndio inakuwa my best day na inafanya na kuw na XXL happy...
B.CODES:Unafeel  vipi ukitumia Public services kama mabasi nk?
DAXX:Yaaah! kwangu naona poa sana na mara kadhaa huwa nafanya hivyo coz inanisaidia kukutana na mafans wangu moja kwa moja.
B.CODES:Unafeel poa ukiwa katika dress code ipi?
DAXX:Ohooo mi na feel bomba kwa vazi la aina yoyote tu coz kila vazi lanipendeza nkivaa..
B.CODES:Out of modeling  una source ipi ya kukuingizia mkwanja?
DAXX:Yaaaah! ninayo coz me ni mtangazaji wa Clouds TV na watu wakae tayari kutazama ma fashion show soon kwa People station.

No comments:

Post a Comment

Followers

watembezi ni