WAJAMAA TAKE TIME YA KUFANYA KAZI NA BRAND MPYA YA KUPIKA VIDEO HAPA BONGO NA KICHUPA CHAKO KIKASHINE LIKE THIS ASEE....WANAITWA NGOME VIDEO PRO UNDER DUPER DIRECTORS & PRODUCERS,MECK SEVEN WA 7 NA NTULI.NA LEO WANAINGIZA VIDEO YA RAD PARENTS KIKOSI CHA MIZINGA NA MZIGO UMEPEWA JINA LA LAWAMA.
TAZAMA
BONGOCODE NEW VIDEO-OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA
CODE NEW VIDEO -C-PWAA
NEW VIDEO FROM DITO-TUSHUKURU KWA YOTE
CODE NEW VIDEO-BY DITTO
NEW VIDEO FROM DULLY SYKES..
BONGO CODE NEW VIDEO FROM FEROUZ-NDEGE MTINI.
VIDEO CODE:NDEGE MTINI
NEW CODES XCLUSIVE VIDEO WANAUME TMK...
KICHWA KINAUMA FROM TMK
Wednesday, December 14, 2011
Tuesday, December 13, 2011
CODE GOSSIP:FUNIZI EXCLUSIVELY..JOKET KIDOTI NA DIAMOND MSAFI KABHAA!!!

I THINK ILE KUVAMIWA NA WEZI NYUMBANI KWAKE NA KUKOMBA VITU VYOTE KWENYE NDINGA YAKE ILIKUWA KAMA MALIPIZI YA USALITI AMBAO KAUFANYA MOYO WANGU SINGER DIAMOND KWA MCHUMBA WAKE WEMA SEPETU.STORIES ZINASEMA HIVI JUZI KATI MKALI WA WASAFI DIAMOND,AMEFUNIWA AKILA DENDA NA CHANNEL O PRESENTER ANAYEIWAKILISHA TZ PALE MWANADADA JOKETI,FUNIZI HILO LILIFANYWA NA MCHUMBA WA DIAMOND WEMA SEPETU NA KUESEMA KWAMBA KIUKWELI AMESHANGAZWA NA KITU HICHO.VITU HIVYO VILITOKEA SIKU AMBAYO DIAMOND ALIKUWA AKISHOOT NEW VIEO YA NGOMA YAKE YA MAWAZO......MSIKILIZE WEMA AKIFUNGUKA..
DADA ANGU ANAOLEWA YA YOUNG DAR..IKO KWENYE SCENE.
Mwishoni mwa wiki iliyopita msanii wa ngoma ya tunapeta from music lable ya ARTHENTIC RECORDS under Max Rioba ,ameanza video making ya his new upcoming hit single inayoitwa dada yangu anaolewa chini ya kampuni ya picha ya Apex pro.Uzinduzi wa video hii utafanyika week end hii pale BILLcanaz sambamba na introduction ya new artists from his music lable.
JCB AOMBA MSAMAHA.
STEP KWA STEP RAPA KID FROM A-TOWN JCB MAKALA LEO AMETANGAZA KUWAOMBA RADHI WAISLAM WOTE KOTE DUNIANI,BAADA YA KUTUMIA BAADHI YA LINES ZA KITABU CHA KURUHANI KATIKA MOJA YA NGOMA ZAKE.."Natumia tena nafasi hii kuwaomba radhi waislam wote duniani,kwa mimi hapa kutumia maneno ya kuruhani kwenye nyimbo yangu,niliyo irekodi miaka mitatu iliyo pita,sikuwa na nia mbaya,nimekwisha fika hadi mskitini kuomba radhi,ndungu zangu nisameheni..."JCB AMESEMA HAYO KUPITIA WALL YAKE YA MTANDAO WA FACEBOOK.
Monday, December 12, 2011
code latest news
NEW SONG YA WAKACHA SETTLED FOR VIDEO,NGOMA INAITWA FACEBOOK GIRL.AND THIS IS WHAT CYRILL WROTE KWENYE FACEBOOK ACCOUNT YAKE.....
"Ma fanz wetu wote tunashkuru tumeweza kufanikisha NYIMBO YA WAKACHA ila inatakiwa ifanyiwe video very soon na tunaitaji ushirikiano wenu,kwa msichana yoyote ambae ana confidence,appearence na swagg na yuko tayari kua video model,ani INBOX mimi (CYRILL KAMIKAZE),JUX VUITTON au GIGGA FLO....1!"..
SO BONGO DADAZ MKO TAYARI? FANYA UNG'AZE KWENYE HII KIOO
Wednesday, November 16, 2011
TAZAMA VIDEO YA MIAKA 5O NEW KIDS KWA MJI.
NGOME VIDEO PRO INTRODUCING
Subscribe to:
Posts (Atom)
