Mwishoni mwa wiki iliyopita msanii wa ngoma ya tunapeta from music lable ya ARTHENTIC RECORDS under Max Rioba ,ameanza video making ya his new upcoming hit single inayoitwa dada yangu anaolewa chini ya kampuni ya picha ya Apex pro.Uzinduzi wa video hii utafanyika week end hii pale BILLcanaz sambamba na introduction ya new artists from his music lable.
No comments:
Post a Comment