BONGOCODE NEW VIDEO-OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA

CODE NEW VIDEO -C-PWAA

NEW VIDEO FROM DITO-TUSHUKURU KWA YOTE

CODE NEW VIDEO-BY DITTO

NEW VIDEO FROM DULLY SYKES..

BONGO CODE NEW VIDEO FROM FEROUZ-NDEGE MTINI.

VIDEO CODE:NDEGE MTINI

NEW CODES XCLUSIVE VIDEO WANAUME TMK...

KICHWA KINAUMA FROM TMK

Tuesday, December 13, 2011

JCB AOMBA MSAMAHA.

STEP KWA STEP RAPA KID FROM A-TOWN JCB MAKALA LEO AMETANGAZA KUWAOMBA RADHI WAISLAM WOTE KOTE DUNIANI,BAADA YA KUTUMIA BAADHI YA LINES ZA KITABU CHA KURUHANI KATIKA MOJA YA NGOMA ZAKE..
"Natumia tena nafasi hii kuwaomba radhi waislam wote duniani,kwa mimi hapa kutumia maneno ya kuruhani kwenye nyimbo yangu,niliyo irekodi miaka mitatu iliyo pita,sikuwa na nia mbaya,nimekwisha fika hadi mskitini kuomba radhi,ndungu zangu nisameheni..."JCB AMESEMA HAYO KUPITIA WALL YAKE YA MTANDAO WA FACEBOOK.

No comments:

Post a Comment

Followers

watembezi ni