BONGOCODE NEW VIDEO-OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA

CODE NEW VIDEO -C-PWAA

NEW VIDEO FROM DITO-TUSHUKURU KWA YOTE

CODE NEW VIDEO-BY DITTO

NEW VIDEO FROM DULLY SYKES..

BONGO CODE NEW VIDEO FROM FEROUZ-NDEGE MTINI.

VIDEO CODE:NDEGE MTINI

NEW CODES XCLUSIVE VIDEO WANAUME TMK...

KICHWA KINAUMA FROM TMK

Saturday, June 18, 2011

BREAKING NEWS: RAIS WA ZAMBIA AFARIKI DUNIA.

POLENI WANANCHI WA ZAMBIA HASA KWA KIPINDI HIKI  KIGUMU CHA MAOMBOLEZO.



                          Rais  Frederick Chiluba  wa Zambia  afariki dunia.

IFM BEAUTIFUL MADE IT MISS DAR INTER COLLEGE 2011.



FROM IFM MISS DAR INTER COLLEGE   2011    ROSE MSUYA.
makofiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii


Battle ilikuwa inatakribani warembo kumi na kuendelea kutoka Collages mbalimbali za jijini Dar-es-salaam..we saw many and beautiful smiles from these dadaz,majaji walipata shida sana kuamua nani awe mrembo wa mashindano haya.But any battle need a winner,baada ya time kupita ikatangazwa Top5 iliyobeba watoto wazuri wenye bonge la attraction faces.
Mwisho kabisa ROSE MSUYA  akatangazwa kuwa miss DAR INTER COLLEGE 2011 akifuatiwa na Bressiny Ngowi uku mrembo aliyeshika third position ni Glory Peter na mashindano haya yalifanyika katika ukumbi wa SUN CIRRO maeneo ya SINZA jijini DAR-ES-SALAAM jana usiku.

                                   <<<  makofiii   tafadhaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii  >>>

                             WATCH THE NICE& BEAUTIFUL TOP THREE GIRLS..
BRESSINY NGOWI (KUSHOTO),ROSE MSUYA (HAPO KATI) NA GLORY PETER (KULIA).


                                                      makofoiiiiiiiiiii

Friday, June 17, 2011

HE IS FIT NA TAYARI KWA K'LA SHOW.

Baada ya vyombo vingi  vya habari duniani kutangaza kuwa he got  boat crash  na  hawezi kufanya lolote coz amezidiwa sana na vyombo vingine kutangaza amekufa big body artist from Kingstone Jamaica Seankingstone back on normal condition na now mzigoni kama kawa and thanks lord the kid is okey.
Msemaji mkuu wa Sean amesema kuwa kingston yuko poa  na alitarajiwa kufanya show afrika mashariki  na hivyo basi imetangazwa rasmi tarehe 29 july 2011 Seankingstone atadrop big and xxl show side za Ug katika viwanja vya The Cricket Oval Kampala.
So Uganda stay tuned the big beat is coming there.

BACK OF A.T WITH NEW PLAYLIST HITS

                                             
Tallest young& x-member wa offsidetrick anayepresent Zanzibar land hapa  Dar-es-salaam msanii AT he back again on music pick kwa playlist ya two new hit tracks.AT amezitaja nyimbo hizo ni asili haipotei ambayo iko on making chini ya  C9 wa Kili records,na vifuu tundu  ambayo hivi sasa inafanya vizuri kwenye tv stations mbalimbali hapa 255.
AT he swept much fans after realize big hit track ya nipigie ambayo alimshirikisha mwanamama Starah  Thomas.........Kuna gossip kwamba record ya vifuu tuned ni doing kwa x-crew ya Offsidetrick.

THE RISE OF NEW CHAME000,000

Ugandan big and rich artist Josee Chameleon ametangaza rasmi kutumia new music id name itakayoanza kutumika rasmi kuanzia kwenye new upcoming video which is on making from this day,Chameleon ambae real name yake ni Joseph Mayanja anasema amejipa nick name hiyo  coz now amefikia level ya kuwa duper,big,heavy weight,dr na professor kwa game ya muziki wa afrika mashariki.
Pia kuna some news ambazo zina sema kwamba wiki kadhaa zilizopita mkali huyu alifunga ndoa iliyocost pesa nyingi na harusi hiyo alifungia jijini Arusha hapa Tanzania.

Wednesday, June 15, 2011

EASY TV WATANGAZA RASMI WASHINDI WA PROMOSHENI YA LIVE BILA CHENGA.

                                        
KAMA WEWE NI MMOJA  YA WATU WALIOMO KWENYE ORODHA YA MAJINA HAYA TAFADHALI TUTUMIE NAMBA YAKO YA SIMU KUPITIA EMAIL ADRESS   leotena@cloudsfm.co
ILI KUPATA MAELEKEZO  YA KUPATA  ZAWADI  ZENU.
Eliudi kutoka-Arusha
Amina Abdala-Sinza DSM
Happy Matenba-Sinza DSM
Halima Abdalah-mwanafunzi wa chuo cha DSJ. DSM
Idrisa Rashidi Bukala-Mburahati DSM

Hawa wote wamebahatika kujishindia Decorder ya Easy TV yenye malipo ya mwezi mmoja bure,tafadhali mshindi  fika kwenye ofisi zetu za Clouds na kitambulisho chako chochote kwa mawasiliano zaidi kwa washindi unaweza kutumia email kwenye leotena@cloudsfm.co

hot BIG GOSSIP:GEEZ MABOVU APORA VIDEO KAMERA..

              

Huyu ni Steve ambae amepost status ya kuibiwa kwa kamera yake na masanii Geez Mabovu.

The havy and big voice of Hip hop anaye own ngoma ya Mtoto wa kiume iliyogongwa na P-funk majani miaka kadhaa iliyopita anashutumiwa kuiba digital Camera ndogo na ku run to Dar es salaam from Iringa alikokuwa akipiga mishe za hapa na pale mjini hapo...Kwa msaada wa status ya facebook iliandikwa na Steve Magombeka ambae ni mmiliki halali wa camera hiyo amesema kuwa Geez amemuibia kifaa hicho na kukimbilia Dar City na hata simu akipigiwa hapokei...  
Ilikuwa kama hivi:


Steve Magombeka's Photos - Wall Photos

Photo 86 of 86   Back to Album · Steve's Photos · Steve's Profile


Followers

watembezi ni