Ugandan big and rich artist Josee Chameleon ametangaza rasmi kutumia new music id name itakayoanza kutumika rasmi kuanzia kwenye new upcoming video which is on making from this day,Chameleon ambae real name yake ni Joseph Mayanja anasema amejipa nick name hiyo coz now amefikia level ya kuwa duper,big,heavy weight,dr na professor kwa game ya muziki wa afrika mashariki.
Pia kuna some news ambazo zina sema kwamba wiki kadhaa zilizopita mkali huyu alifunga ndoa iliyocost pesa nyingi na harusi hiyo alifungia jijini Arusha hapa Tanzania.
No comments:
Post a Comment