Msemaji mkuu wa Sean amesema kuwa kingston yuko poa na alitarajiwa kufanya show afrika mashariki na hivyo basi imetangazwa rasmi tarehe 29 july 2011 Seankingstone atadrop big and xxl show side za Ug katika viwanja vya The Cricket Oval Kampala.
So Uganda stay tuned the big beat is coming there.
No comments:
Post a Comment