BONGOCODE NEW VIDEO-OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA

CODE NEW VIDEO -C-PWAA

NEW VIDEO FROM DITO-TUSHUKURU KWA YOTE

CODE NEW VIDEO-BY DITTO

NEW VIDEO FROM DULLY SYKES..

BONGO CODE NEW VIDEO FROM FEROUZ-NDEGE MTINI.

VIDEO CODE:NDEGE MTINI

NEW CODES XCLUSIVE VIDEO WANAUME TMK...

KICHWA KINAUMA FROM TMK

Wednesday, June 15, 2011

BIG PLAYLIST ITAKAYO DROP BIG BEAT FIESTA 10 MWANZA.

FIESTA10 2011 MWANZA MSIMU WA DHAHABU UNAO ENDELEA.          Ofcoz opening ya fiesta 10 in big beat itaanza na Mwanza kwa kupewa bonge moja la show kwa following artist playlist....Rap city mjipange coz this big beat is for you people....so haina??????...........

Mwanza 1. Fid Q 2. mataluma 3. Shaggy 4. Ali Kiba 5. mwana FA 6. Mwasiti 7. Dully Sykes 8. Juma Nature 9. Barnabas 10. Linah 11. Chriss wamalya 12. Makomando 13. Recho 14. Sajna
first time in Rock city the Rap city  watarushwa na Shaggy .a.k.a Mr lover lover in bomber stick.

Tuesday, June 14, 2011

big gossip:NANI NI MMILIKI HALALI WA FULL NG'AE NG'AE???

After few days kupita baada tu!ya fat and big boy from Mexicana Lacavela  ambae yuko under age Baghdad, kuincert new lagage on air,kumeibuka kelele na maneno ya hapa na pale kuwa wazo la mzigo huo ni limeibiwa kutoka kwa big and hip hop icon artists.
Full ng'ae ng'ae ni ngoma ambayo ilitakiwa ifanywe na Babuu wa kitaa,Adam Mchomvu na Cow Obama a.k.a. Ngwear. so dogo Baghdad kacopy kiitikio hicho na kunyonga ngoma ya full ng'ae ng'ae ambayo imekuwa big hit on Radio stations time hii.

Uku kwa side nyingine imesikika kwamba wazo hilo ni la mtu flani ambae alikuwa akiimba kwa kujifurahisha tuu hivyo  hao nao wamecopy kutoka huko,,ingawaje  Babuu na Adam Mchomvu wameamua kuachana na wazo hilo na kumadvice Baghdad kuumiza kichwa time ya kuchora mashairi yake na sio kusubiri watu watoe ndipo acopy.
Swali ni kwamba who have copy right of FULL NG'AE NG'AE kati yao or huyo mtu.?


                                                        Adamu mchomvu.

Monday, June 13, 2011

BONGO FILM ACTRESS WALIOGEUKA KUWA BIG TOPIC KWENYE NEWS PAPERS.



Hapa bongo kuna macelleb wengi wanaoandikwa katika newspapers na magazin mbalimbali  but kuna wale waliopick mbaya ,hasa kwa ma actress wa bongo films,watu wengi wameandikwa kwa mazuri na wengine kwa mabaya.....je unadhani nani anaye ongoza kuandikwa kwa wingi katika printing press za hapa bongo?kati Wema Sepetu,Aunt Ezekiel,Irene Uwoya na swertest lady Lulu?Tazama upande wako wa kulia na uvote kwa kuselect jina husika.

FROM TETEMESHA INTRODUCING:C-SIR MADINI.

From Rock City 255 chini ya bulding ya TETEMESHA RECORDS, introducing Peter Mponeja.k.a.C-SIR MADINI,hii ni new incert ya Tetemesha Records after Sajna kukaa kwenye pick ya Bongo flaver indutry.Get ready for new video in next level by Adam Juma.
ngoma inaitwa:kifungo huru,


artist:C-sir madini,studio:Tetemesha Records,
mashairi yamechorwa na:C-sir,Kid bwoy,joseflyproduced&mixed by Kid bwoy.

Saturday, June 11, 2011

Tip Top Connection& Michael rossie.

BIG GOSSIP: KASSIM AJITOA TIP TOP CONNECTION.


Kwa big help ya the cop Sudbrown the xxl producer,kupitia segment ya you heared imesikika kwamba the soft vocal artist Kassim Mganga wa Tip Top connection amejitoa kwenye busness crew hiyo kwa sababu za kimapato.

Inasemekana kwamba halipwi his money kila akipiga show,hivyo kaamua kujitoa, ingawaje yeye Kassim amekanusha taharifa hizo.Lakini vyanzo vingine vya news vinaeleza kuwa Kassim alikuwa halipwi pesa hiyo kutokana na sababu za kimakato ambazo zilitakiwa zifanyike kutokana na makubaliano yaliyowekwa na management ili kukamilisha deni la fedha aliyokuwa akidaiwa,deni hilo lilitokana na Kassim kulipwa mkwanja ili akapige show some where but cha kushangaza hakutokea kupiga mzigo huo while members wengine kama madee,tunda na dogo janja waliibuka kupika mzigo huo.Ndipo walipoamua kumkata pesa kwa kila show atakayo fanya mpaka itimie ile money aliyokuwa akidaiwa na uongozi wake....

unaona utaaaaamu.....big gossip..














Followers

watembezi ni