After few days kupita baada tu!ya fat and big boy from Mexicana Lacavela ambae yuko under age Baghdad, kuincert new lagage on air,kumeibuka kelele na maneno ya hapa na pale kuwa wazo la mzigo huo ni limeibiwa kutoka kwa big and hip hop icon artists.
Full ng'ae ng'ae ni ngoma ambayo ilitakiwa ifanywe na Babuu wa kitaa,Adam Mchomvu na Cow Obama a.k.a. Ngwear. so dogo Baghdad kacopy kiitikio hicho na kunyonga ngoma ya full ng'ae ng'ae ambayo imekuwa big hit on Radio stations time hii.
Uku kwa side nyingine imesikika kwamba wazo hilo ni la mtu flani ambae alikuwa akiimba kwa kujifurahisha tuu hivyo hao nao wamecopy kutoka huko,,ingawaje Babuu na Adam Mchomvu wameamua kuachana na wazo hilo na kumadvice Baghdad kuumiza kichwa time ya kuchora mashairi yake na sio kusubiri watu watoe ndipo acopy.
Swali ni kwamba who have copy right of FULL NG'AE NG'AE kati yao or huyo mtu.?
Adamu mchomvu.
No comments:
Post a Comment