BONGOCODE NEW VIDEO-OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA

CODE NEW VIDEO -C-PWAA

NEW VIDEO FROM DITO-TUSHUKURU KWA YOTE

CODE NEW VIDEO-BY DITTO

NEW VIDEO FROM DULLY SYKES..

BONGO CODE NEW VIDEO FROM FEROUZ-NDEGE MTINI.

VIDEO CODE:NDEGE MTINI

NEW CODES XCLUSIVE VIDEO WANAUME TMK...

KICHWA KINAUMA FROM TMK

Tuesday, May 29, 2012

CoDe..SPRITE YADHAMINI KLINIKI YA KIKAPU (Zaidi ya vijana 200 kushiriki)

Mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu na anyechezea ligi ya NBA ya Marekani , Hasheem Thabeet akiongea  na waandishi wa habari (hawako pichani) kuhusu kliniki ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Sprite itakayofanyika katika viwanja vya Don Bosco, Upanga Dar es Salaam kuanzia Ijumaa Juni Mosi 2012.
Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) Michael Maluwe akizungumza na waandishi wa habari (hawako pichani)kuhusu ya kliniki ya vijanai chini ya umri wa miaka 17 itakayofanyika katika viwanja vya Don Bosco, Upanga jijini Dar es Salaam kuanzia Ijumaa Juni Mosi mwaka huu. Kliniki hiyo imedhaminiwa na Kampuni ya Coca-Cola kupitia kinywaji cha Sprite. Katikati ni mchezaji wa Ligi maarufu duniani ya NBA  Hasheem Thabeet na kulia ni Meneja Bidhaa Msaidizi wa Coca-Cola Tanzania Warda Kimaro.
 

No comments:

Post a Comment

Followers

watembezi ni