LAST WEEK SIKU YA JUMAMOSI MKALI BOBI WINE ALIWEZA KUTAKE IT JIKO LAKE AMBALO ALIKUWA AKILICHOCHEA SINCE KITAMBO KNOWN BARBIE(ALIWEZA KUFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE WA ZAMANI ANAITWA BARBIE.)NA PIA KUNA STORI ZINAZOSEMA KWAMBA BEEF KATI YAKE NA JOSE CHAMELEON LIMEREJEA UPYA BAADA YA MKALI JOSE KUMVAMIA NA KUMPIGA BOBI WINE ALIYEJUWA AKILA BATA KWENYE CLUB FLANI JIJI KAMAPALA IKIWA NI SAA CHACHE TUU BAADA YA JOSE CHAMILION KUTANGAZA KUBADILI DINI NA KUWA MUISLAM.NA BAADA YA MASAA 36 AKATANGAZA KURUDI KWENYE DINI YAKE YA KIKRISTO...KEEPM IT STOP
WATCH BOBI WED VIDEO.....
No comments:
Post a Comment