LEO KATIKA FILES ZILIZOLETWA MEZANI KWA BONGO CODE COP NI HII HAPA YA MSICHANA AMBAE NI TILA LILA VIDEO MODEL ANAITWA ANITHA KAMA ULIKUWA HUJUI,INASEMEKANA ANA DATE NA FULL NG'AE NG'AE RAPPER MWENYEWE MWILI MKUBWA THOU AGE YAKE NI LOW,SOURCE INASEMA THIS GIRL IS EVERY THING TO JAMAA COZ KILA KITU AFANYACHO JAMAA NI LAZIMA MTOTO APITISHE AU KUSIFIA NA KISHA ATOE BARAKA ZAKE NDIPO JAMAA ANAFANYA NA LAZIMA MZIGO UFANYE KWELI MTAANI KAMA HUYU MSICHANA ATAPITISHA KITU HICHO.
CHANZO KINAENDELEA KUSEMA KWAMBA HATA VIDEO LOCATIONS AMBAZO BAGHDAD ANAKUWA ANAFANYIA SHOOTING MARA NYINGI ANITHA ANAMCHAGULIA,PIA HATA KUANDIKA LINES MAMA RITHA ANATUMIA NGUVU ZAKE KUMUELEKEZA JAMAA KUANDIKA NA NAMNA YA KUFLOW NA VYOTE HIVYO HUWA VINAFANYA KWELI.....KAMA UNABISHAA JARIBU KUSIKILIZA KILA NGOMA ANAYOFANYA THIS YOUNG BIG RAPPER ZINAKUWA ZINATAJA JINA LA BABA RITHA EITHER KWENYE OUTRO AU INTRO COZ RITHA INASIMAMA BADALA YA ANITHA .......SO THIS MADE COP KUFIKIRIA KWAMBA MA MC WENGI EAST AFRICA WANAANDIKA LINES KWA MAISHA WANAYOYAISHI MTAANI KWAO......
No comments:
Post a Comment