BONGOCODE NEW VIDEO-OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA

CODE NEW VIDEO -C-PWAA

NEW VIDEO FROM DITO-TUSHUKURU KWA YOTE

CODE NEW VIDEO-BY DITTO

NEW VIDEO FROM DULLY SYKES..

BONGO CODE NEW VIDEO FROM FEROUZ-NDEGE MTINI.

VIDEO CODE:NDEGE MTINI

NEW CODES XCLUSIVE VIDEO WANAUME TMK...

KICHWA KINAUMA FROM TMK

Tuesday, August 23, 2011

CODES SPOT TEXT FROM TETEMESHA

LEO KUPITIA BONGO CODES MD FACEBOOK ACCOUNT AMETUMIWA UJUMBE HUU NA TASTED YOUNG PRODUCER FROM TETEMESHA RECORDS...


TAARIFA RASMI KUHUSU
HUSSEIN MACHOZI KUREJEA TETEMESHA.....Kumekuwa na taarifa nyingi hapo katikati
lakini hii ndio taarifa rasmi na ya kweli kuwa yalitokea matatizo kidogo mwaka
jana (2010) mwanzoni, yaliyotokana na Hussein kukiuka baadhi ya masharti ya
mkataba wake na Tetemesha, yaliyopelekea uongozi kuamua kusitisha kwa muda mkataba
wake ili kumpa nafasi ya kupewa nguvu msanii mwingine aliyekuwa ndio anaaza
kutambuulishwa mwaka jana anayefahamika kama SAGNA. Baada ya kumtambulisha
vizuri Sagna, mwaka huu pia Tetemesha tumeweza kumtambulisha msanii mwingine wa
tatu aitwaye C-SIR MADINI.

Sasa tumeona ni wakati muafaka wa kumrudisha Hussein Machozi rasmi ndani ya
Tetemesha baada ya kukaa nae chini na kufanya makubaliano mapya na kusaini
mkataba mwingine toka katikati ya mwaka huu, isipokuwa tumechelewa kuwapa
taarifa kwasababu tulikuwa tunaweka kwanza mambo kadhaa sawa.

SO NAWASAIDIA KUFIKIRIA JUU YA HII COMBINATION OF SWEET VOICES DUDES FROM ROCK CITY..............

No comments:

Post a Comment

Followers

watembezi ni