Big campany ya Maltichoice Africa leo imetangaza new and best Swahili channel kupitia Africa Magic channel itakayoitwa AFRICA MAGIC SWAHILI itakayoanza kuruka rasmi tarehe 1 july mwaka huu kupitia channel no 127..BIOLA ALABY ambaye ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo kwa bara la Afrika ameeleza nia na madhumuni ya AFRICA MAGIC SWAHILI ni kutangaza na kuuza kazi za wasanii wa muziki na filamu kwa afrika mashariki pamoja na kutangaza Lugha ya kiswahili kote duniani.
Akiongezea BARBARA KAMBOKI ambaye ni afisa mahusiano wa kampuni ya MULTICHOICE TANZANIA amesema wasanii wajitokeze kwa wingi kutangaza kazi zao kwani huu ndo wakati muafaka kwa wao kujitangaza kimataifa...
Makofiiiii kwa MULTICHOICE TANZANIA..........!!!!!!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment