THIS WAS MASQUE NIGHT FASHION FOR VISSION,AMBAPO FIRST LADY WA TANZANIA ALIONGOZA KUNDI LA WATOTO WAZURI TANZANIA NA MA BROTHER WA UKWELI KATIKA FASHION SHOW HII ILIYOANDALIWA NA LIONS CLUB EVENUE YA KEMPISKI HOTEL DAR TOWN.THIS FANCTION ILIZALISHA MKWANJA WA SHILINGI MILIONI 15 NA ZAIDI ULICHANGWA NA WADAU MBALI MBALI KATIKA KUCHANGIA.
THANKS WABUNIFU WA MAVAZI NA WASANII MBALIMBALI WALIOJITOKEZA KATIKA KUCHANGIA HARAMBEE HIYO...FASHION&ARTS FOR SOCIETY.
No comments:
Post a Comment