BONGOCODE NEW VIDEO-OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA
CODE NEW VIDEO -C-PWAA
NEW VIDEO FROM DITO-TUSHUKURU KWA YOTE
CODE NEW VIDEO-BY DITTO
NEW VIDEO FROM DULLY SYKES..
BONGO CODE NEW VIDEO FROM FEROUZ-NDEGE MTINI.
VIDEO CODE:NDEGE MTINI
NEW CODES XCLUSIVE VIDEO WANAUME TMK...
KICHWA KINAUMA FROM TMK
Friday, May 18, 2012
B.O.B Marley Day 2 morrow katika viwanja vya posta
BOB MARLEY DAY 2012 KULINDIMA JUMAMOSI VIWANJA VYA POSTA, DAR
Mkurugenzi wa Caribbean Beat Entertainment Benji Cosmo (katikati) akiongea na waandishi wa habari juu ya tamasha la kumuenzi hayati Bob Marley linalotarajiwa kufanyika jumamosi ya wiki hii katika Viwanja Posta jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Ras Magere ambaye ni kiongozi wa 'The Warrios Band', Ras Inno anayewakilisha 'The Inocent People Band', Jhikoman pamoja na Jonson.
Ras Inno ambaye ni kiongozi wa 'The Inocent People Band' akiwahakikishia waandishi wa habari kushiriki katika tamasha hilo.
Ras Six almaarufu kama Six Dozen wa 'Tunaweza Band' akiwakilisha band.
Kikosi cha 'The Warrios Band' kutoka Arusha wakitoa burudani mbele ya waandishi wa habari.
TUNAWASHUKURU WANZANIA KWA USHIRIKIANO WAO HILDA NA JULIO
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania, Barbara Kambogi (kushoto) akiongea mchana huu kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Southen Sun,Jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa Washiriki wa Big Brother Afrika (Julio na Hilda walio katikati) na Waandishi wa Habari. Kulia ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Multichoice Tanzania,Furaha Samalu.
Washiriki wa Big Brother Afrika 2012, Julio na Hilda.
Aliyekuwa Mshiriki wa Big Brother Stargame 2012, Julio Batalia akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mchana huu kuhusu ushiriki wake katika jumba lile la Big Brother.
Aliyekuwa Mshiriki wa Big Brother Stargame 2012, Hilda Reiffenstein akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mchana huu kuhusu ushiriki wake katika jumba lile la Big Brother.
Mamia ya wapenzi wa michezo nchini wamejitokeza katika uwanja wa TCC Chang'ombe kutoa heshima za mwisho kwa mchezaji wa Simba raia wa Rwanda PATRICK MAFISANGO aliyefariki usiku wa jana kwa ajali mbaya ya gari.
Wednesday, February 22, 2012
FACE 2 FACE PART SIDE ZA ZENJI.CHEKI HAPA
WOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!
Kiingilio 5000/= party itaanza rasmi saa tano asubuhi na kuisha saa tatu usiku. kuna mashindano ya free style, kuogelea,sreet dance battle, and dj battle..postar kama haijakubali ichukue kwenye profile yanguwasanaa. FID Q, KASSIM MGANGA, DOGO ASLEY, AT, SULTAN KING, AND SEYNARG. KIINGILIO BUKU TANO.
Kiingilio 5000/= party itaanza rasmi saa tano asubuhi na kuisha saa tatu usiku. kuna mashindano ya free style, kuogelea,sreet dance battle, and dj battle..postar kama haijakubali ichukue kwenye profile yanguwasanaa. FID Q, KASSIM MGANGA, DOGO ASLEY, AT, SULTAN KING, AND SEYNARG. KIINGILIO BUKU TANO.
Subscribe to:
Posts (Atom)



