BONGOCODE NEW VIDEO-OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA

CODE NEW VIDEO -C-PWAA

NEW VIDEO FROM DITO-TUSHUKURU KWA YOTE

CODE NEW VIDEO-BY DITTO

NEW VIDEO FROM DULLY SYKES..

BONGO CODE NEW VIDEO FROM FEROUZ-NDEGE MTINI.

VIDEO CODE:NDEGE MTINI

NEW CODES XCLUSIVE VIDEO WANAUME TMK...

KICHWA KINAUMA FROM TMK

Friday, May 18, 2012

TUNAWASHUKURU WANZANIA KWA USHIRIKIANO WAO HILDA NA JULIO


 Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania, Barbara Kambogi (kushoto) akiongea mchana huu kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Southen Sun,Jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa Washiriki wa Big Brother Afrika (Julio na Hilda walio katikati) na Waandishi wa Habari. Kulia ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Multichoice Tanzania,Furaha Samalu.
 Washiriki wa Big Brother Afrika 2012, Julio na Hilda.
 Aliyekuwa Mshiriki wa Big Brother Stargame 2012, Julio Batalia akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mchana huu kuhusu ushiriki wake katika jumba lile la Big Brother.
 Aliyekuwa Mshiriki wa Big Brother Stargame 2012, Hilda Reiffenstein akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mchana huu kuhusu ushiriki wake katika jumba lile la Big Brother.

Mamia ya wapenzi wa michezo nchini wamejitokeza katika uwanja wa TCC Chang'ombe kutoa heshima za mwisho kwa mchezaji wa Simba raia wa Rwanda PATRICK MAFISANGO aliyefariki usiku wa jana kwa ajali mbaya ya gari.

Wednesday, February 22, 2012

FACE 2 FACE PART SIDE ZA ZENJI.CHEKI HAPA

WOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!
Kiingilio 5000/= party itaanza rasmi saa tano asubuhi na kuisha saa tatu usiku. kuna mashindano ya free style, kuogelea,sreet dance battle, and dj battle..postar kama haijakubali ichukue kwenye profile yanguwasanaa. FID Q, KASSIM MGANGA, DOGO ASLEY, AT, SULTAN KING, AND SEYNARG. KIINGILIO BUKU TANO.

Monday, December 19, 2011

MWANA F.A. LIKED KAFULILA SPEECH.

YALAITI RAPA AMNUKUU KAFULILA JUU YA KATIBA MPYA.

center; MARGIN: 0px auto 10px; WIDTH: 300px; DISPLAY: block; HEIGHT: 400px; CURSOR: hand" id="BLOGGER_PHOTO_ID_5687856102232544322" border="0" alt="" src="https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgfgQg2cENpoXt7IGtDsmC4xg-36TBsV-l68WfUGlWukJn7zCbJsrGsdkbMMi0VifWwiTexW9WcGyRMhM6yKaye_nnt-QGs5Y9A8iTTBS1K1cORtyH2iaXt073vz-PLruKpk8vrs60tzlY/s400/Kafulila3
yafaa kunako katiba mpya,hata mwakilishi aliyechaguliwa na wananchi akifutwa uanachama wa chama chake,abaki kuwa mwakilishi bado..wananchi hawachagui chama na kuitisha upya uchaguzi ni gharama nyingine zisizo na msingi ambazo zitahujumu kodi zetu,tena zinazosababishwa na matakwa ya watu wachache tu..#Kafulila

FROM FACEBOOK...MWANA FA WALL






Thursday, December 15, 2011

WEMA V/S JOKETI=PILATO

KWA HADITHI ILIYOTUFIKIA MUDA MFUPI FROM NOW NIKWAMBA KUNA MANENO ZIKO CHINI YA SAKAFU ETIIII!JOKETH ANAJIPANGA KUMBURUZA WEMA SEPETU MAHAKAMANI KWAA KUMCHAFUA...
NI vurugu mechi kati ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu (pichani) na namba mbili
wake, Jokate Mwegelo, mtifuano ni mzito lakini habari mpya ni kwamba sakata hilo linahamia kwenye mkondo wa kisheria.
Wema anamtuhumu Jokate kutoka kimapenzi na aliyekuwa mchumba wake, Naseeb Abdul ‘Diamond’, kitu ambacho kimesababisha wamwagane.
Kwa mujibu wa rafiki wa Jokate, Wema atasimamishwa kortini siku chache zijazo kujibu tuhuma za kumchafua mrembo huyo.
THAT KUTOKA KWA SOURCE YANGU Allan kisoi.

info codes from other link-NDOA YA MWISHO MWAMPAMBA NAMIBIA.




MWISHO MWAMPAMBA AVUTA WIFE KIMYA KIMYA,NDOA HYO IMEFUNGIWA BODA ZA NAMIBIA NA MTOTO FROM THAT LAND KNOWN MERLEY,NDOA HIYO ILIFUNGWA TAREHE 10 DEC HII..
KAMA UNAKUMBUKA MAHUSIANO YAO YALIANZIA SINCE BIG BROTHER BULDING NA HATIMAE WAJAMAA WAMEFANYA EEEEEE.

Followers

watembezi ni