BONGOCODE NEW VIDEO-OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA

CODE NEW VIDEO -C-PWAA

NEW VIDEO FROM DITO-TUSHUKURU KWA YOTE

CODE NEW VIDEO-BY DITTO

NEW VIDEO FROM DULLY SYKES..

BONGO CODE NEW VIDEO FROM FEROUZ-NDEGE MTINI.

VIDEO CODE:NDEGE MTINI

NEW CODES XCLUSIVE VIDEO WANAUME TMK...

KICHWA KINAUMA FROM TMK

Thursday, September 29, 2011

PRAKATATUMBA SPRAY KWA WABONGO OCTOBER 9 THIS YEAR.


KUNA STORIES AMBAZO ZIMEANZA KUINGIA KWA MASIKIO YA WATU HASA WALE WAPENDAO KUTAFUTA UNDER WATER INFOZ WAKIWEMO BONGO CODE,CHANZO CHA SEMA KWAMBA SHOW HIYO YA ANGOLA TEEN CABOSNOOP ITAFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA LEADERZ OCTOBER 9 MWAKA HUU,STAY ON US KWA MORE INFOZ.

Tuesday, September 27, 2011

YOUNG DEE SAY SOMETHING KWA KIDS RAPPERS.

KUPITIA FACEBOOK ACCNT YAKE TANZANIA YOUNG RAPER AMBAE KAJITATOO JINA LA DAVID KWENYE KIGANJA CHAKE A.K.A YOUNG DEE AMETOA RAI KWA WATU WANAO MFANYISHA BATTLE KATI YAKE NA WASANII WADOGO AMBAO WANAFANYA MUSIC WAKE.
''Wa2 weng(mashabiki) wamekua wakilalamika mm kushndanishwa na hawa madogo we2, siwezi kusema ni jambo baya sana kwa7bu nilazma uwe msanii mdogo ili kua msanii mkubwa kama pia utakua unakua kisanii, ila ni mbaya zaidi kwao km haitawajenga''.

Saturday, September 24, 2011

CODES SELL YOUR ARTS-MTANI ELIAS

KID ANAITWA MTANI ELIAS NEW KWENYE KIWANDA CHA UBUNIFU WA MAVAZI HAPA 255 NA LEO NDO ANAUZA SANAA YAKE KUPITIA CODE SELL YO ART YA BONGO CODE.FANYA UMPOKEE NA UMPE SAPORT KWA KAZI ANAYO FANYA NA HII NDI FIRST SHOW YAKE NA DRESS CODE YA KWANZA ...










Monday, September 19, 2011

BONGO RECORDS AND DANGER COLLABO WITH MIMS.

GOSSIP:Siku chache zijazo,studio inayomilikiwa na P-Funk aka Majani ya Bongo Records itafanya bonge la joint katika anga za kimataifa pale itakapoachia kitu ambacho kimemshirikisha msanii maarufu from state known MIMS .let us wait.

Tuesday, September 13, 2011

Saidia Zanzibar - Zanzibar Needs your help

Monday, September 12, 2011

CODES NOTE FROM OFFSIDETRICK.

CODES OF ZENJI MUSIC AMBAO WANAISHI DAR TOWN WAMETOA KAULI POLE KWA WAHANGA WA AJARI YA KUZAMA KWA MELI VISIWANI ZANZIBAR
"Offside Trick
Tuwaombee Ndugu zetu,jamaa zetu,rafiki zetu na mashabiki zetu waliofariki Kwa MV SPICE,mungu awalaze mahala pema peponi,na awajalie AFYA njema kwa wale wote walio nusurika na ajali hiyo."

CODES PHOTO ATTACHMENT MISS TANZANIA.









Vodacom Miss Tanzania,Sarha Israel (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa Pili,Tracy Sospeter (kulia) na mshindi wa tatu,Alexia William mara baada ya kutangazwa usiku huu kwenye ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar. Kwa ushindi huo Sarha Israel anakuwa Vodacom Miss Tanzania 2011-2012 na kunyakua gari aina ya Jeep lenye thamani ya shilinngi milioni 72 .








Followers

watembezi ni